Kanuni za Mitandao, Radio na Televisheni Tanzania Zatangazwa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe (Mb) ametangaza rasmi kanuni mbili za Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya Sura namba 306 ya mwaka 2010, katika gazeti la Serikali namba 133 (GN.No.133) na 134 (GN.No.134) zilizochapishwa tarehe 16/03/2018. Read More »